Ijumaa, 8 Septemba 2017

UZINDUZI UZINDUZI UZINDUZI

Posted by Esta Malibiche on Sept.8,2017

Kwaya ya Bikira maria msaada wa wakristu inayotarajia kuzinduzi wa Album yao ya kwanza iitwayo NIPO VITANI,itakayozinduliwa siku ya jumapili ya tarehe10,9,2017 katika kigango cha Ihefu parokia ya Mafinga jimbo katoliki la Iringa.
KWAYA ya Bikira Maria Msaada wa wakristu,kigango cha Ihefu parokia ya Mafinga Jimbo katoliki la Iringa inapenda kukukaribisha kwenye uzinduzi wa Album yao ya kwanza Iitwayo NIKO VITANI,utakaofanyika siku ya jumapili tarehe 10.9.2017.Utatanguliwa na Ibada ya Misa takatifu kuanzia saa 8:00 Aaubuhi,katika kanisa la Ihefu parokia ya Mafinga.Katika uzinduzi huo,Mgeni rasmi  anatarajia kuwa waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Dkt.Augustino Mahiga,atakaeambatana na
1:Rose tweve Mbunge viti maalum Mkoa wa Iringa
2: Mendard Kigola mbunge wa mufindi kusini 
3:Mahamoud Mgimwa mbunge mufindi Kaskazini 
4:Cosato Chumi Mbunge Mafinga mjini
5:Meneja wa shamba la miti sao hill  Salehe Beleko,
6:Meneja wa mucoba bank
7:Meneja wa Bank ya NMB Mafinga
8:Meneja wa Bank ya CRDB Mafinga.
9:Dickson tewele 

Kwaya mbalimbli zitashiriki katika Uzunduzi huo,ikiwemo 
1. Kwaya kuu ya mtakatifu Cesilia parokia ya Kihesa.
2. Kwaya ya Bikira Maria Mpalizwa mbinguni Mafinga.
3. Kwaya kuu ya mtakatifu Cesilia Mafinga
4. Kwaya ya mtakatifu Cesilia Parokia ya Ifunda
5. Secilia Parokia ya makambako 
6. B. Maria wa consolata mshindo
7:Mt. Cesilia parokia ya mdabulo
8:Yosefu mfanyakazi kigango cha Itona Parokia ya Mdabulo
9:Bikira Maria consolata  kibao 
10:Mt. Stefano imehe -nyololo
11:Mt. Kizito-ngwazi 
12:Mt.Augustino_Ifupilo
13:Uinjilist Anglikana_Mafinga
14:Mt.Vicent Luganga_Mafinga
15:Kwaya ya Amani Rutherani_Mafinga
16:Mt.Theresia _Kinyanambo
17:Kwaya ya  Yesu Kristu Mfalme_Kinyanambo
18:Mt.Bakita_Sadan
19:Mt.Cesilia _Sadan
20:Mt.Cesilia _Mawambala Usokami
21:Mt.Theresia wa mtoto Yesu_Makambako
22.Mt.Augustino _Ihongole Mafinga

Kwaya ya Bikira maria msaada wa wakristu inayotarajia kuzinduzi wa Album yao ya kwanza iitwayo NIPO VITANI,itakayozinduliwa siku ya jumapili ya tarehe10,9,2017 katika kigango cha Ihefu parokia ya Mafinga jimbo katoliki la Iringa.
Kwaya ya Bikira maria msaada wa wakristu inayotarajia kuzinduzi wa Album yao ya kwanza iitwayo NIPO VITANI,itakayozinduliwa siku ya jumapili ya tarehe10,9,2017 katika kigango cha Ihefu parokia ya Mafinga jimbo katoliki la Iringa.
Kwaya ya Bikira maria msaada wa wakristu inayotarajia kuzinduzi wa Album yao ya kwanza iitwayo NIPO VITANI,itakayozinduliwa siku ya jumapili ya tarehe10,9,2017 katika kigango cha Ihefu parokia ya Mafinga jimbo katoliki la Iringa.
Kwaya ya Bikira maria msaada wa wakristu inayotarajia kuzinduzi wa Album yao ya kwanza iitwayo NIPO VITANI,itakayozinduliwa siku ya jumapili ya tarehe10,9,2017 katika kigango cha Ihefu parokia ya Mafinga jimbo katoliki la Iringa.

0 maoni:

Chapisha Maoni