Jumanne, 12 Septemba 2017

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI JENERALI VICENT MRITABA HOSPITAL YA LUGALO

Posted by Esta Malibiche on Sept.12,2017 IN NEWS



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) wakioneshwa na  Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe Brigedia risasi  zilizotolewa kwenye mwili wa  Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba  baada ya kushambuliwa wakati akiingia  nyumbani kwake Ununio wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.

0 maoni:

Chapisha Maoni