Jumatatu, 25 Septemba 2017

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM TAIFA KUONGOZA VIKAO VYA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA

Posted by Esta Malibiche on Sept 25,2017 IN SIASA


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Taifa Dkt.John Pombe Magufuli, anatarajia kuongoza kikao cha  Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kwa siku mbili Jijini Dar es Salaam, Septemba 30 hadi Oktoba 1, 2017.

 Kwa mujibu wa  taarifa iliyotolewa Jana  Septemba 24,2017 na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole ameeleza kuwa, Kamati kuu ya Halmashauri ya Taifa (CC)  na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) vinatarajia kuketi  Jijini Dar e Salaam kwa nyakati tofauti.

0 maoni:

Chapisha Maoni