Ijumaa, 29 Septemba 2017

IRINGA KUCHELE:MONESHO YA UTALII KARIBU KUSINI YAFANA

Posted by Esta Malibiche on Sept.29,2017 IN NEWS.
Wananchi kutoka mikoa ya Nyanda za juu kusini wakiendelea kumiminika kwenye  mabanda Mbalimbali  ya maonesho ya Utalii 'Karibu kusini'yanayofanyika katika Viwanja vya Kichangani Manispaa ya Iringa mkoani Iringa.
Katika maonesho haya  zaidi ya Wafanyabiashara 350 kutoka mikoa ya Nyanda za juu kusini wameshiriki.
Maonesho haya yanatarajia kufunguliwa rasmi leo hii,na Waziri wa Maliasili na Utali Pro.Maghembe kuanzia saa saba mchana.





















































0 maoni:

Chapisha Maoni