Jumatatu, 11 Septemba 2017

MATUKIO KATIKA PICHA:UZINDUZI WA NYIMBO ZA INJILI KWAYA YA BIKIRA MARIA MSAADA WA WAKRISTU KIGANGO CHA IHEFU MAFINGA JIMBO KATOLIKI LA IRINGA.

Posted by Esta Malibiche on Sept.10,2017 IN NEWS

Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa Balozi Augutino Mahiga akivalishwa vazi la heshima la kabila la kihehe katika uzinduzi wa Albumu ya kwanza ya Nyimo za Injili ya  kwaya ya Bikira Maria Msaada wa wakristu kigango cha Ihefu Parokia ya Mafinga Jimbo katoliki la Iringa.PICHA NA ESTA MALIBICHE.

Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa Balozi Augutino Mahiga akivalishwa vazi la heshima la kabila la kihehe katika uzinduzi wa Albumu ya kwanza ya nyimbo ya Injili ya kwaya ya Bikira Maria Msaada wa wakristu kigango cha Ihefu Parokia ya Mafinga Jimbo katoliki la Iringa.PICHA NA ESTA MALIBICHE.
Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na ushirikiano wa kimataifa,Augustino Mahiga akizungumza katika uzinduzi wa Albumu ya kwanza nyimbo za Injili ya kwaya ya Bikira maria msaada wa wakristo,uliofanyika jana katika kigango cha Ihefu Parokia ya MAFINGA Jimbo katoliki la Iringa.PICHA NA ESTA MALIBICHE.
Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na ushirikiano wa kimataifa,Augustino Mahiga akizungumza katika uzinduzi wa Album ya kwanza nyimbo za Injili ya kwaya ya Bikira maria msaada wa wakristo,uliofanyika jana katika kigango cha Ihefu Parokia ya MAFINGA Jimbo katoliki la Iringa.PICHA NA ESTA MALIBICHE.
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Jamhuri Willium akizungumza katika uzinduzi wa Album ya kwanza ya  Nyimbo za Injili,ya kwaya ya Bikira Maria Msaada wa wakristu iliyofanyika jana katika kigango cha Ihefu Parokia ya MAFINGA jimbo katoliki la Iringa.PICHA NA ESTA MALIBICHE

Meneja wa Sao Hill  akizungumza katika uzinduzi wa Album ya kwanza ya  Nyimbo za Injili,ya kwaya ya Bikira Maria Msaada wa wakristu iliyofanyika jana katika kigango cha Ihefu Parokia ya MAFINGA jimbo katoliki la Iringa.PICHA NA ESTA MALIBICHE
Mwenyekiti wa kwaya ya Bikira Maria msaada wa wakristu akisoma risala kwa Mgeni Rasmi,katika uzinduzio wa nyimbo za Injili uliofanyika jana katika kigango cha Ihefu parokia ya Mafinga jimbo katoliki la Iringa.PICHGA NA ESTA MALIBICHE
 Wanakwaya ya Bikira Maria Msaada wa wakristu,wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Album yao inayoitwa NIPO VITANI.
Wanakwaya ya Bikira Maria Msaada wa wakristu,wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Album yao inayoitwa NIPO VITANI
 Wanakwaya ya Bikira Maria Msaada wa wakristu,wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Album yao inayoitwa "NIPO VITANI"

 Wanakwaya kuu ya Mtakatifu Cesilia Parokia ya Kihesa Jimbo Katoliki la Iringa[KWA BABA YAO]wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Album ya Nyimbo za Injili ya kwaya ya Bikira Maria Msaada wa wakristu kigango cha Ihefu Jimbo Katoliki la Iringa,uliofanyia jana.PICHA NA ESTA MALIBICHE

0 maoni:

Chapisha Maoni