Kwa Habari za kitaifa na kimataifa

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za michezo na burudani

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za afya

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za Kilimo

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za uchumi na biashara

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za elimu

Tembelea Kali ya habari

Jumamosi, 30 Septemba 2017

WANYAMA HAI WAWA KIVUTIO KIKUBWA MAONESHO YA UTALII KARIBU KUSINI 2017

Posted by Esta Malibiche on Sept.30,2017 IN NEWS

Umati wa wananchi wakimiminika kuelekea katika mabanda ya wanyama hai,amabao ni Simba,Chui,Fisi na Kobe.ambao wameoneka ni kivutio kikubwa katika maonesho ya utalii Karibu kusini 2017.

Mnyama hai Simba akiwa kwenye banda lake maalum katika maonesho ya utalii Karibu kusini yaliyozinduliwa jana,yanayoendelea katika Viwanja vya Kichangani Kihesa Manispaa ya Iringa.

Mnyama hai Fisi akiwa kwenye banda lake maalum katika maonesho ya utalii Karibu kusini yaliyozinduliwa jana,yanayoendelea katika Viwanja vya Kichangani Kihesa Manispaa ya Iringa

Mnyama hai Chui akiwa kwenye banda lake maalum katika maonesho ya utalii Karibu kusini yaliyozinduliwa jana,yanayoendelea katika Viwanja vya Kichangani Kihesa Manispaa ya Iringa.

Mnyama hai Kobe akiwa kwenye banda lake maalum katika maonesho ya utalii Karibu kusini yaliyozinduliwa jana,yanayoendelea katika Viwanja vya Kichangani Kihesa Manispaa ya Iringa.

Umati wa wananchi wakijiandiiisha kwa ajili ya kuingia kwenye mabanda yanwanyama hai,amabao ni Simba,Chui,Fisi na Kobe
.
Umati wa wananchi wakimiminika kuelekea katika mabanda ya wanyama hai,amabao ni Simba,Chui,Fisi na Kobe.ambao wameoneka ni kivutio kikubwa katika maonesho ya utalii Karibu kusini 2017.

Umati wa wananchi wakijiandiiisha kwa ajili ya kuingia kwenye mabanda yanwanyama hai,amabao ni Simba,Chui,Fisi na Kobe

Umati wa wananchi wakijiandiiisha kwa ajili ya kuingia kwenye mabanda yanwanyama hai,amabao ni Simba,Chui,Fisi na Kobe

Mtandao huu wa habari utaendelea  kukuletea taarifa na matukio mbalimbali kutoka katika viwanja vya kichangani eneo ambalo Maonesho haya yanafanyika.Karibuni mtembelee Mabanda ili mjionee vivutio vya utalii vinavyopatikana katika mikoa ya Nyanda za juu kusini.

SEKTA BINAFSI ZAONGEZA NGUVU KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA SINGIDA.

Posted by Esta Malibiche on Sept.30,2017  IN NEWS
Mwakilishi wa Kaimu Katibu Tawala Mkoa, Cosmas Sikali akizungumza na wadau wa sekta binafsi zinazotoa huduma katika Mkoa wa Singida.

. Mratibu wa Ukimwi Mkoa wa Singida Dkt Mohamed Mbalazi akitoa mada katika mkutano ulijadili uboreshaji wa ushirikiano baina ya serikali na wadau wa sekta binafsi zinazotoa huduma ya Afya Mkoani Singida

 Afisa Lishe Mkoa wa Singia Teda Sinde akifafanua jambo katika mkutano ulijadili uboreshaji wa ushirikiano baina ya serikali na wadau wa sekta binafsi zinazotoa huduma ya Afya Mkoani Singida.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Salum Manyatta akisikiliza kwa makini maoni na michango mbalimbali ya wadau ambao ni taasisi na mashirika binafsi yanayotoa huduma za Afya Mkoani Singida.
Meneja Mradi wa EGPAF Kanda ya Kati Dkt Joseph Obedi akiandika baadhi ya mapendekezo ya kuboresha ushirikiano kati ya sekta binafsi na serikali katika uboreshaji wa huduma za Afya Mkoa wa Singida.

Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Mkoa wa Singida Dkt Evans Mlay (wa kwanza kushoto) akipitia dondoo, kabla ya kuwasilisha mada iliyoonyesha mchango mkubwa wa wadau Sekta ya Afya katika mapambano dhidi ya Kifua Kikuu Singida, Kulia kwake ni Afisa Mradi wa AMREF Mkoa wa Singida Donathapeace Kayoza.

NA AFISA HABARI SINGIDA

WADAU mbalimbali wa sekta binafsi wameweza kuongeza nguvu katika kuboresha sekta ya Afya Mkoani Singida kutokana na ushirikiano mzuri ulipo baina yao na serikali.

Hayo yamebainishwa katika mkutano maalumu wa siku mbili uliohitimishwa jana Mjini Singida, ambapo viongozi wa serikali, taasisi na mashirika 15 yanayotoa huduma za Afya na Ustawi wa jamii Mkoani hapa wamejadiliana namna ya kuboresha ushirikiano baina yao.

Mratibu wa Ukimwi Mkoa wa Singida Dkt Mohamed Mbalazi amesema katika mapambano dhidi ya Ukimwi na Virusi vya Ukimwi (VVU) Mkoani hapa, Sekta binafsi zimekuwa na mchango mkubwa.

Dkt Mbalazi amesema wadau hao wameweza kutoa dawa za kupunguza makali ya VVU, tiba lishe, mafunzo kwa watoa huduma wa afya, ufuatiliaji wa watumia wa dawa za VVU pamoja na kuandaa takwimu jambo ambalo limeboresha mapambano dhidi ya VVU na Ukimwi.

“Sisi kama watendaji wa serikali tunathamini na kutambua mchango wa wadau wa sekta afya kwakuwa ni nguzo muhimu sana, mfano wadau wetu shirika la EGPAF, wametenga bilioni 1.6 kwa ajili ya mapambano dhidi ya Ukimwi na maambukizi ya VVU” Mkoani Singida”, amesema na kuongeza kuwa,
“Fedha hizo zitaongea nguvu pale ambapo kuna changamoto au bajeti inakuwa haitoshelezi, lakini pia tunaendelea kutoa wito kwa wadua wengine waendelee kuongea nguvu na wigo wa ushirikiano kwakuwa lengo letu ni moja yaani kumsaidia mwananchi apate huduma bora za afya”, amesisitiza Dkt Mbalazi.

Naye Afisa Lishe Mkoa wa Singida Teda Sinde amesema wadau wamekuwa watekelezaji wazuri wa masuala ya Lishe Mkoani hapa hasa kwa ngazi ya jamii hivyo ushirikiano kati yao umekuwa wa manufaa makubwa.

Teda amesema mkutano huo wa wadau umewawezesha watendaji na viongozi wa serikali kuelewa kwa upana zaidi kazi wanazofanya wadau pamoja na changamoto wanazopitia ili waweze kusaidiana katika kuboresha hali ya Lishe Mkoani hapa.

“Mkutano huu umeongeza na kuboresha ushirikiano baina yetu na wadau wetu ambao wengi wao wanatoa chakula lishe na elimu ya lishe kwa akina mama wajawazito, watoto wenye umri wa miezi sita mpaka 59 na akina mama wanaonyonyesha watoto chini ya miezi sita”, ameeleza Teda.

Ameongeza kuwa mkutano huo umeweza kusaidia katika kupanga mikakati ya utoaji huduma ili kuepusha wadau wanaotoa huduma ya aina moja kutoelekeza nguvu katika maeneo yanayofanana au ambayo hayana uhitaji mkubwa kuliko mengine.

Akifungua Mkutano huo Mwakilishi wa Kaimu Katibu Tawala Mkoa, Cosmas Sikali aliwataka wadau kujadili sera, sheria, kanuni, maeneo ya kipaumbele katika miradi mbalimbali, mafanikio na changamoto katika utekelezaji wa mipango mikakati inayosisitiza ushirikiano kati ya Sekta ya Umma na binafsi.

Sikali amesema endapo nguvu hizi kwa pamoja zitaunganishwa na kuratibiwa vizuri kwa kiasi kikubwa changamoto zilizopo katika sekta ya afya na ustawi wa jamii pamoja na maradhi kwa wananchi yataweza kupungua.

Ameongeza kuwa serikali peke yake haitaweza kufikia malengo ya kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa ya kuambukiza  na yasiyoambukiza, pamoja na  kuboresha afya ya mazingira  na kupata maji safi na salama bila kushirikiana na Sekta binafsi.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Salum Manyatta amesema mkutano huo umeshirikisha wadau wote muhimu wanatoa huduma za afya na ustawi wa jamii mkoa wa Singida.

Dkt Manyatta amesema mkutano huo umeweka malengo na maazimio ya pamoja na wadau wa sekta binafsi ili kuimarisha sekta ya afya na ustawi wa jamii Mkoani Singida.

Ijumaa, 29 Septemba 2017

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MAGEMBE AZINDUA MAONESHO YA UTALII KARIBU KUSINI APONGEZA MAANDALiZI

Posted by Esta Malibiche on Sept.29,2017 IN NEWS
 waziri wa Maliasili na utalii Prof.Jumanne Maghembe akikata utepe katika banda la jeshi limamoto wakati wa uzinduzi wa maonesho ya utalii 'KARIBU KUSINI' uliofanyika leo katika viwanja vya kichangani Manispaa ya Iringa.Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza.
Kauli mbiu ya mwaka huu inasema,"UTALII ENDELEVU NI NGUZO YA UCHUMI WA VIWANDA"

 Waziri wa Maliasili na Utalii Prof.Jumanne Maghembe akikagua na kupata maelekezo katika mabanda ya wafanyabiashara walioshiri katika maenesho ya Utalii 'KARIBU KUSINI'uliofanyika leo hii katika viwanja vya kichangani Manispaa ya Iringa na kuhudhuriwa na   wafanyabiashara 350 kutokamikoa ya Nyanda za juu kusini huku wananchi wakifurahishwa na bidhaa mbalimbali zilizoletwa katika maonesho vikiwemo vivutio vya wanyama hai.
Maonedho hayo yanaendelea hadi  Oct.2,2017ambapo yatafungwa rasmi.

Maonesho hayo yanaendelea hadi  Oct.2,2017ambapo yatafungwa rasmi.

Mtandao huu wa habari utaendelea  kukuletea taarifa na matukio mbalimbali kutoka katika viwanja vya kichangani eneo ambalo Maonesho haya yanafanyika.Karibuni mtembelee Mabanda ili mjionee vivutio vinavyopatikana katika mikoa ya Nyanda za juu kusini.