Kwa Habari za kitaifa na kimataifa

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za michezo na burudani

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za afya

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za Kilimo

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za uchumi na biashara

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za elimu

Tembelea Kali ya habari

Jumatano, 17 Mei 2017

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA NAIBU WAZIRI TAMISEMI WILAYANI KILOLO MKOANI IRINGA

Posted by Esta Malibiche on MEI 17,2017 IN NEWS

Naibu waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika ofisi ya mkuu wa wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa katika moja ya ziara yake aliyoifanya jana.
 
Naibu waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo akisalimiana na viongozi pamoja na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa,mara baada ya kuwasili katika ofisi ya mkuu wa wilaya

Naibu waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo akisalimiana na viongozi pamoja na wakuu wa idara  wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa,mara baada ya kuwasili katika ofisi ya mkuu wa wilaya

Naibu waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo akisalimiana na viongozi pamoja na wakuu wa idara  wa Halmashauri ya wilaya ya kilolo
Naibu waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo akisalimiana na viongozi pamoja na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa,mara baada ya kuwasili katika ofisi ya mkuu wa wilaya
Mbunge wa Kilolo Venus Mwamoto akisalimiana na wakuu wa Idara
Naibu waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo akizungumza na wakuu wa Idara mbalimbali mara baada ya kuwasili katika ofisi za Halmashauri ya wilaya ya kilolo katika moja ya ziara yake aliyoifanya jana.

Naibu waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo akielekea kikagua ujenzi unaoendelea wa Hospitali ya wilaya ya kilolo
Naibu waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo akielekea kikagua ujenzi unaoendelea wa Hospitali ya wilaya ya kilolo
Naibu waziri wa Tamisemi Seleman jaffo akitoa maelekezo
Dc Kilolo  Asia Abdalah  akiongozana mbunge  Mwamoto    wakati  wa ziara ya naibu  waziri Tamisemi  leo 
Naibu waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo akielekea kikagua ujenzi unaoendelea wa Hospitali ya wilaya ya kilolo
Mbunge  wa kilolo venus Mwamoto akimshukuru Naibu waziri wa Tamisemi kwa kutembelea na kukagua ujenzi huo
Jengo la utawala katika  Hospitali ya  wilaya ya  Kilolo inayojengwa

Naibu waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo akzungumza kabla ya kuanza ukaguzi wa ujenzi  wa Hospitali ya wilaya ya kilolo

Afisa mipango wa Halmashauri ya wilaya ya  kilolo Josephine Mukungu akisoma Taarifa ya ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Kilolo   kwa Naibu waziri Tamisemi

Naibu waziri wa Tamisemi Seleman Jaffo akizungumza   kabla ya kuanza kukagua ujenzi wa Haospitali ya wilaya ya kilolo

Jumatatu, 15 Mei 2017

RAIS MGUFULI AIVUNJA CDA

Posted by Esta Malibiche on MEI 15,2017 in News

Jumatano, 10 Mei 2017

MWIGULU NCHEMBA MGENI RASMI TAMASHA LA UZINDUZI NYIMBO ZA INJILI MAFINGA

Posted by Esta Malibiche on MEI 10,2017
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la uzinduzi wa nyimbo za Injili litakalofanyika siku ya juma pili tarehe MEI 14,2017 kuanzia saa nne asubuhi katika ukumbi wa parokia ya Mafinga Jimbo katoliki la Iringa.

 KWAYA KUU YA MTAKATIFU CESILIA PAROKIA YA MAFINGA JIMBO KATOLIKI LA IRINGA,INATARAJIA KUFANYA KUZINDUA  ALBAM YAO YA TATU YA NYIMBO ZA INJILI INAYOKWENDA KWA JINA LA *MBONA WACHELEWA* YESU HUYO.
UZINDUZI HUO UTAFNYIKA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 14/05/2017 KATIKA UKUMBI WA PAROKIA YA MFINGA KUANZIA SAA 10:00 ASUBUHI.
 UZINDUZI HUO UTATANGULIWA NA IBADA YA MISA TAKTIFU,NA MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI HUO ANATRAJIA KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI  YA NCHI MH. MWIGULU NCHEMBA (MB),AMBAE ATAAMBATANA NA MBUNGE WA MFINGA MJINI COSATO CHUMI,MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA IRINGA RITHA KABATI NA WAGENI MBALIMBALI WATASHIRIKI UZINDUZI HUO,ZIKIWEMO KWAYA 
MBALIMBALI ZITAKUWEPO KUTOKA MAFINGA NA NJE YA MAFINGA,IkIWEMO 
KWAYA
1. THERESIA WA AVILA -MBEYA
2:KWAYA KUU YA MTAKATIFU CESILIA KIHESA
3: MT. PAUL -DODOMA
4:KWAYA YA MT.CESILIA KILOMBELO
5. THERESIA MTOTO YESU-MAKAMBAKO
6:KWAYA ZA LUTHERANI MAFINGA
7. UINJILISTI ANGLIKANA -MAFINGA
8:UPENDO -KINYANAMBO
9:KWAYA YA BIKIRA MARIA CONSOLATA_MSHINDO IRINGA
10:KWAYA ZOTE ZA RC MAFINGA
11:KWAYA YA MALAIKA GABRIEL MKUU_KILOMBELO
12:KWAYA YA MT.CESILIA IFUNDA.
Na kwaya mbalimbali kutoka Mafinga,na Nje ya Jimbo la Iringa....Hii si ya kukosa.
Nyote mnakaribishwaaa.

Mbunge wa jimbo la Mafinga mjini Cosato Chumi mmoja wa wageni watakaoshuriki Tamasha la uzinduzi wa Nyimbo za Injili kwaya kuu ya Mt.Cesilia Parokia ya Mafinga Jimbo katoliki la Iringa.

Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Iringa Ritha Kabati,mmoja wa wageni watakaoshiri uzinduzi wa Nyimbo za Injili za kwaya ya Mtakatifu Cesilia  parokia ya Mafinga Jimbo Katoliki la Iringa.
Hawa si wengine bali ni wanakwaya wa kwaya kuu ya mtakatofu Cesilia parokia ya Mafinga Jimbo Katoliki la Iringa wanaotarajia kufanya uzinduzi wa Album yao ya Tatu.

Wanakwaya wa kwaya ya Mt.Cesilia kutoka parokia ya Kihesa Jimbo katoliki la Iringa,moja ya kwaya kuu itakayoshiriki Tamasha la uzinduzi wa nyimbo za Injili Mafinga.

 Wanakwaya wa kwaya ya Mt.Cesilia kutoka parokia ya Kihesa Jimbo katoliki la Iringa,moja ya kwaya kuu itakayoshiriki Tamasha la uzinduzi wa nyimbo za Injili Mafinga.

Jumanne, 9 Mei 2017

UZINDUZI UZINDUZI

Posted by Esta Malibiche on MEI 9,2017

 KWAYA KUU YA MTAKATIFU CESILIA PAROKIA YA MAFINGA JIMBO KATOLIKI LA IRINGA,INATARAJIA KUFANYA UZINDUZI WA ALBAM YAO YA TATU YA NYIMBO ZA INJILI INAYOKWENDA KWA JINA LA *MBONA WACHELEWA* YESU HUYO.UZINDUZI HUO UTAFNYIKA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 14/05/2017 KATIKA UKUMBI WA PAROKIA YA MFINGA KUANZIA SAA 10:00 ASUBUHI. UZINDUZI HUO UTATANGULIWA NA IBADA YA MISA TAKTIFU.MGENI RASMI KATIKA UZINDUZI HUO ANATRAJIA KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI  YA NCHI MH. MWIGULU NCHEMBA (MB). KWAYA MBALIMBALI ZITAKUWEPO KUTOKA MAFINGA NA NJE YA MAFINGA,IkIWEMO KWAYA KUU YA MTAKATIFU CESILIA PAROKIA YA KIHESA JIMBONI IRINGA.NYOTE MNAKARIBISHWA.